Masalia ya plastiki yatengeneza mashua aina ya DAU

Your browser doesn’t support HTML5

Vipande vya plastiki ikiwa pamoja na chupa na vifuniko, vimeyeyushwa na kutengenezwa mashua aina ya DAU. Baadhi ya vifaa vya plastiki viliokotwa kwenye fukwe za Lamu.