China yaruhusu uuzaji wa vipuli vya vifaru na ngozi chui.

Your browser doesn’t support HTML5

China imeruhusu kuuzwa kwa vipuli vya vifaru pamoja na ngozi za chui kwa ajili ya matibabu suala ambalo limetia hofu ya kufufua uuzaji na uwindani haramu vipuli vya wanyama.