Viongozi wa Afrika wakutana na Angela Merkel

Your browser doesn’t support HTML5

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amehimiza kuzingatia uwezo mkubwa wa kiuchumi iliopo bara la Afrika , na kuamini ukuaji uchumi katika bara hilo kutasaidia kupungua kwa uhamiaji haramu katika bara la Ulaya.