Duniani Leo October 31, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Rais Donald Trump amezusha mjadala unaosababisha mjadala mkubwa kuhusu uwezo wake wa kubadili kifungu cha katiba kinachoruhusu watoto wanaozaliwa Marekani kupata uraia wa moja kwa moja hata kama wazazi wahamiaji wasizo na vibali. Uchaguzi mdogo wa katikati ya muhula kufanyika jumanne Novemba 6.