Mtuhumiwa wa mabomu ya vifurushi anyimwa dhamana

Your browser doesn’t support HTML5

Mtuhumiwa wa mabomu ya vifurishi anyimwa dhamana, wakati maofisa wa usalama wakamata kifurushi kingine kilicholengwa kutumwa kwenye ofisi za CNN.