Leicester City yaendelea kuomboleza kifo cha mmiliki wao.

Your browser doesn’t support HTML5

Mashabiki wa klabu ya Leicester City wanaendelea kuomboleza kifo cha mmiliki wa klabu hiyo Vichai Srivaddhanaprabha. Bilionea huyo alikufa baada ya helkopta aliyopanda kuanguka.