Zulia Jekundu Episode 197

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii kwenye Zulia Jekundu, Rihanna amuunga mkono Colin Kaepernick kwa kukataa kuimba kwenye mapunziko ya fainali za American Football maarufu kwa jina la Super Bowl, Keapernick anapinga unyanyasaji wa watu weusi. Na kionjo cha filamu ya Halloween ambayo imeongoza katika mauzo ya box office