Gianni Infantino amewasili mjini Kigali, Rwanda

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa shirikisho la soka duniani Gianni Infantino amewasili mjini Kigali, Rwanda kwa ajili ya kikao ambacho kina agenda za kuanzisha michuano mingine mipya licha ya kuwepo kwa upinzani mkali. Infantino ana nia ya kuanzisha kombe la dunia la vilabu ambalo litakuwa na mfumo wa kombe la dunia, na mashindano mengine ya kimataifa.