Wajasiriamali wa teknolojia nchini Somalia wanafanya mkutano wa kwanza mjini Mogadishu

Your browser doesn’t support HTML5

Wajasiriamali wa teknolojia nchini Somalia wanafanya mkutano wa kwanza mjini Mogadishu, unaohudhuriwa na mamia ya wadau kujadili biashara na ubunifu katika mji unaojulikana zaidi kwa migogoro na machafuko.