Tanzania imeshauriwa kupitia upya na kuweka uwazi kuhusu makubaliano ya ulipaji kodi

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania imeshauriwa kupitia upya na kuweka uwazi kuhusu makubaliano ya ulipaji kodi marambili baina yake na mataifa yanayowekeza nchini humo kwani licha ya mikataba hiyo kuwa na dosari lakini pia kwa sehemu kubwa inainyonya nchi hiyo.