Ongezeko la uwekezaji wa nchini za Asia na Afrika limesababisha wasiwasi

Your browser doesn’t support HTML5

Ongezeko la uwekezaji wa nchi za asia barani afrika katika miaka ya hivi karibuni limesababisha wasiwasi miongoni mwa nchi za magharibi ambazo zinaona nafasi zao za zamani zikichukuliwa na nchi za asia hasa china.