Benki za kiislamu zinaendelea kukua duniani

Your browser doesn’t support HTML5

Benki za kiislamu zinaendelea kukua duniani, lakini kushamiri kwake zaidi kupo barani Afrika katika siku za hivi karibuni, kwa mujibu wa taasisi inayotoa orodha za kibenki ya Moody. Benki hizi zinatumia mfumo usiotoza riba katika mikopo inayotoa kwa wateja wake.