Rais Mstaafu wa Tanzania amesema jitihada za kuwashawishi serikali ya Burundi hazijafanikiwa
Your browser doesn’t support HTML5
Kikao cha mazungumzo ya kusuluhisha mgogoro wa Burundi kimeanza leo Arusha, Tanzania bila licha ya kutokuwepo kwa wawakilishi wa serikali ya Burundi. Akifungua mazungumzo hayo msimamizi wa mgogoro wa burundi Rais Mstaafu wa Tanzania Benjamin Wiliam Mkapa amesema hadi sasa jitihada zake za kuwashawishi serikali ya Burundi kuhudhuria kikao hicho hazijafanikiwa.