Hofu ya wizi wa mtihani nchini Kenya inaendelea kuongezeka

Your browser doesn’t support HTML5

Hofu ya wizi wa mtihani nchini Kenya inaendelea kuongezeka , watoto zaidi ya millioni 3 wakitarajiwa kuanza kufanya mtihaniwa kitaifa mwisho wa mwezi huu. Serikali ya Kenya imetoa ilani na onyo kali kwa wazazi, walimu na wanafunzi kuwa watakaopatikana wamehusika katika wizi wa mtihani