Wachunguzi waendelea kutafuta chanzo cha vifurushi vya mabomu.

Your browser doesn’t support HTML5

Wachunguzi bado wanaendelea kutafuta chanzo cha vifurushi vya mabomu vilivyokusudiwa kutumwa nyumbani kwa marais wastaafu, Bill Clinton, na Barack Obama . Wengine waliotumiwa vifurushi ni watu maafuru pamoja na katika ofisi za CNN katika jiji la New York.