Ukuta wachangia ukusunyaji wa kodi ya madini ya Tanzanite.

Your browser doesn’t support HTML5

Wachimbaji na wafanyabiashara wa madini ya Tanzanite yanayopatikana kaskazini mwa Tanzania wamezungumzia mabadiliko yaliyoanza kujitokeza katika biashara ya madini hayo.