Umoja wa mataifa kushindwa kupambana na njaa Yemen.

Your browser doesn’t support HTML5

Mkuu wa shuguli za huduma za dharura wa Umoja wa Mataifa mark Lowcock ameonya kuwa wafanyakazi wa misaada ya dharura wameanza kushindwa katika vita vya kupambana na njaa nchini Yemen.