Duniani Leo October 24, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Baada ya kifo cha mwandishi wa habari Jamal Kashoggi katika ubalozi wa Saudia Arabia nchini Uturuki, waziri wa mambo ya nje wa marekani Mike Pompeo amesema Marekani haitotoa visa kwa waliohusika na mauwaji ya mwandishi huyo. Gavana wa Jimbo la Migori nchini Kenya ameachiliwa kwa dhamana.