Hali ya usalama Beni DRC bado ni ya utata.

Your browser doesn’t support HTML5

Kamanda wa jeshi la kulinda amani la Umoja wa mataifa MONUSCO Luteni Generali Elias Rodrigues Martins amesema hali ya Beni ni mbaya kutokana na matatizo walionayo ushirikiano na wananchi.