Marekani imeonywa kuhusu sheria za wakimbizi duniani.

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limeonya kwamba Washington inakiuka sheria za kimataifa kwa kuwazuia watu wanaohitaji hifadhi kuingia Marekani.