Kucheza ngoma kama tiba ya mawazo

Your browser doesn’t support HTML5

Wamerekani wenye asili ya Afrika katika mji wa Baltmore jimbo la Maryland wanacheza na kupiga ngoma zenye asili ya afrika magharibi na kusema kuwa ni burudani ambayo pia ni tiba ya msongo wa mawazo.