Duniani Leo October 22, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Shirika la umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limeonya kwamba Washington inakiuka sheria za kimataifa kwa kuzuia watu wanohitaji hifadhi kuingia Marekani. Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesain mkataba na kampuni za chini na uhispania , mradi ya kusazisha umeme.