Wanawake wenye ulemavu wa ngozi wapanda mlima Kilimanjaro

Your browser doesn’t support HTML5

Wanawake sita kutoka nchi mbalimbali za Afrika wamepanda mlima Kilimanjaro katika harakani za kueneza ueleo wa unyanyasaji wanaopita kutokana na matatizo hayo.