Kenya kupiga kura Agosti 8 wakati wa uchaguzi mkuu.

Your browser doesn’t support HTML5

Wakenya sasa kupiga kura Agosti nane katika chaguzi kuu zijazo nchini humo, baada ya mswada wa kubadilisha tarehe hiyo kutopitishwa kwenye bunge la nchi hiyo.