NAFTA kuvunjwa iwapo Mexico haitadhibiti wakimbizi.

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Marekani atishia kusimamisha mkataba wa NAFTA iwapo Mexico haitozuia Wahamiaji kufuka mpaka wa kusini kuingia nchini Marekani. Wakimbizi hoa wanaosafiri kwa maelfu wakitokea Hondurus , kupitia Guatemala na safari hiyo itaelekea Mexico kabla ya kufika kwenye mpaka wa kusini wa Marekani.