Umoja wa mataifa na umoja wa afrika zimetowa wito wa kuanzisha mazungumzo ya dharura kati ya upinzani na serikali ya Comoro

Your browser doesn’t support HTML5

Umoja wa mataifa na umoja wa afrika zimetowa wito wa kuanzisha tena mazungumzo ya dharura kati ya upinzani na serikali ya Comoro, baada ya kuzuka mapigano kati ya wanajeshi wa serikali na wapinzani wa rais Azali Assoumani, katika kisiwa cha pili kwa ukubwa cha Nzwani.