Theresa May amesema ana imani kubwa kuwa makubaliano ya Brexit bado yanawezekana

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amesema ana imani kubwa kuwa makubaliano ya nchi kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya – BREXIT – bado yanawezekana. Alisema hayo alipowasili Brussels kukutana na wenzake wa Ulaya, siku tatu baada ya mazungumzo kukwama jinsi ya kushughulikia suala na mpaka wa Ireland.