Duniani Leo October 18th, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri mkuu wa Uingereza asema bado anamatumaini makubwa ya makubaliano ya nchi yake kujitoa kwenye umoja wa Ulaya BREXIT bado yatawezekana. Wachunguzi wa Uturuki wanaendelea na msako wa mwandishi wa Washington Post aliyepotelea kwenye ubalozi wa Saudia Arabi nchini humo