Mombasa yaadaa kongamano la utalii.

Your browser doesn’t support HTML5

Wageni zaidi ya 500 kutoka nchi mbalimbali duniani wawasili nchini Kenya kushirikia katika kongamano la utalii liloandaliwa na mji wa Mombasa.