Marekani na Uturuki wajadili kupotea kwa mwandishi wa habari kwenye ubalozi wa Saudia Arabia.

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa mambo ya nje ya Marekani akutana na maafisa wa uturuki kujadili kupotea kwa mwandishi wa habari katika ubalozi wa Saudia Arabia nchini Uturuki wiki iliyopita.