Duniani Leo October 17, 2018
Your browser doesn’t support HTML5
Wafanya biashara wa samaki nchini Kenya walalamika soko la samaki wa ziwa Victoria kushuka kutokana na samaki wanaoagizwa kutoka China kuuzwa kwa bei za chini. Kimbunga cha Micheal kimeacha madhara makubwa katika jimbo la Florida.