Magugu maji yanafaida badala ya hasara pekee.

Your browser doesn’t support HTML5

Ingawa Magugu maji yamekuwa kero kwa wavuvi wa samaki katika maziwa makuu, baadhi ya wafanya biashara nchini Kenya watumia Magugu maji hayo kutengeneza vifaa mbalimbali kiwa pamoja na karatasi.