Mafuriko yauwa watu 13 Ufaransa.

Your browser doesn’t support HTML5

Mafuriko yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 13 kusini mwa Ufaransa kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini humo.