Uturuki wafanya upekuzi ubalozi wa Saudia Arabia kufuatia kupotea kwa mwandishi wa habari.
Your browser doesn’t support HTML5
Maafisa wa usalama wa Uturuki wafanya upekuzi kwa zaidi ya masaa kumi kwenye ubalozi wa Saudia nchini humu, baada ya kutoweka kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi katika ubalozi huo.