Lugola asema kupotea kwa bilionea Dewji hakuifanyi Tanzania kutokuwa salama

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amesema Tanzania iko salama pamoja na kuwepo utekaji nyara na watu ambao wanatajwa kama watu wasio julikana.
Tanzania tayari imeshuhudia matukio kadhaa ya watu kutekwa nyara, katika siku za hivi karibuni.