Waziri wa zamani wa michezo kufikishwa mahakamani Kenya.

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa zamani wa Kenya anatarajiwa kufikishwa mahakamani kujibu shutuma za wizi wa fedha zilizokuwa za wanamichezo ambao walishiriki katika michezo ya olimpiki nchini Brazil.