Billion za shilingi kutolewa kwa atayetoa taarifa za kupatikana kwa MO

Your browser doesn’t support HTML5

Familia ya Bilionea mdogo wa kiafrika, Mohammed Dewji imesema itatoa zawadi ya shilingi bilioni za shilingi kwa atayetoa taarifa za kupelekea kupatikana kwa mtoto wao.