Duniani Leo October 15, 2018

Your browser doesn’t support HTML5

Familia ya Mohammed Dewji yaomba wananchi kushirikiana nao katika kutoa habari za kutekwa kwa mtoto wao. Serikali ya Marekani yatishia kuiwekea vikwazo Saudi Arabia endapo itakuwa imejihusisha na kupotea kwa mwandishi wa habari nchini Uturuki.