Habari mbalimbali ulimwenguni wa michezo

Your browser doesn’t support HTML5

Licha ya chombo cha kupambana na dawa za kuchochea misuli michezoni kuwasafisha baadhi ya wanariadha wa Kenya juma la jana, kufungiwa miaka minne kwa mwanariadha wa mbio ndefu Samuel Kalalei kumezusha wasiwasi kwa kashfa hiyo kuigubika Kenya.