Maporomoko ya matope yameaua watu 40 mashariki mwa Uganda

Your browser doesn’t support HTML5

Maporomoko ya matope yameaua watu 40 mashariki mwa Uganda katika wilaya ya Bududa, katika kijiji cha Bukalasi, mlima Elgon.Maporomoko yalitokea alhamisi mchana, wakati mvua ilikuwa ikinyesha.