Wanafunzi nchini DRC wameiomba serikali kudumisha usalama

Your browser doesn’t support HTML5

Wanafunzi katika miji ya Butembo na Beni Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wameiomba serikali kudumisha usalama ambao unaendelea kuzorota na kusababisha kati baadhi ya shule wanashindwa kuhudhuria masomo.