FEMA wanasema uharibifu uliosababishwa na kimbunga hautaweza kujulikana kwa siku kadhaa

Your browser doesn’t support HTML5

Mafisa wa idhara ya huduma za dharura ya marekani FEMA, wanasema uharibifu uliosababishwa na kimbunga kikali cha Michael katika pwani ya magharibi ya jimbo la Florida na Georgia hautaweza kujulikana kwa siku kadhaa kutokana na kuanguka kwa nguzo za umeme pamoja na miti