Joe Biden amekataa kuthibitisha au kukanusha mpango wa kuwania urais wa Marekani mwaka 2020

Your browser doesn’t support HTML5

Makamu rais wa zamani wa marekani Joe Biden amekataa kuthibitisha au kukanusha kwamba ana mpango wa kuwania urais wa Marekani mwaka 2020. Alimzungumzia rais Donald Trump jinsi asivyofahamu vyema sera za mambo ya nje