maafisa wa idara ya forodha, uhamiaji na wanyama pori wapewa mafunzo

Your browser doesn’t support HTML5

Mafunzo maalum yanatolewa kwa maafisa wa idara ya forodha, uhamiaji na wanyama pori kutoka mataifa ya Kenya na Tanzania ili waweze kutambua bidhaa haramu za wanyama pori ambazo husafirishwa nje ya nchi kwa njia ya magendo.