Obuageku Ezekwesuki kungombea urais Nigeria.

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa zamani katika serikali ya Nigeria Obiagel Ezekwesili , ambaye pia ni mwakilishi wa kundi la uelewa kuhusu wasichana zaidi ya 200 waliotekwa na Boko Haram mwaka 2014, anapanga kuwa rais wa kwanza mwanamke nchini Nigeria.