Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa ajiuzuru.
Your browser doesn’t support HTML5
Balozi wa Marekani kwenye Umoja wa Mataifa Nikki Haley ajiuzuru mwishoni mwa wiki na kusema ilikuwa ni fahari kwake kutumika , na kuwakilisha taifa lake kwenye Umoja wa Mataifa.