Upinzani watangaza ushindi nchini Cameroon.

Your browser doesn’t support HTML5

Mgombea wa upinzani nchini Cameroon amejitangazia ushindi katika uchaguzi wa urais wakati kura bado zinaendela kuhesabiwa. Maurice Kamto kutoka chama cha Resistance Movement hajatoa matokeo yoyote kuthibitisha madai yake.