Mamia ya wahamiaji katika jimbo la Gujarat nchini India warejea jimboni kwao

Your browser doesn’t support HTML5

Mamia ya wahamiaji katika jimbo la Gujarat nchini India analotokea Waziri Mkuu Narendra Modi wamerudi katika Majimbo yao baada ya tukio la ubakaji wa mtoto kuzusha mashambulizi dhidi ya wahamiaji hao.