Mahmoud Abbas kukutana na maafisa wa PLO

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa mamlaka ya wapalestina, Mahmoud Abbas anasema anapanga kukutana na maafisa wa Palestinian Liberation Organization na Fatah baadaye mwezi huu.