Watu 22 wauawa kwa visu na mapanga Congo DRC.

Your browser doesn’t support HTML5

Watu 22 wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa na visu, Mapanga, shoka na bunduki katika eneo la Masisi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.